66 : 7
يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَا تَعۡتَذِرُواْ ٱلۡيَوۡمَۖ إِنَّمَا تُجۡزَوۡنَ مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ
Enyi mlio kufuru! Msilete udhuru leo. Hakika mnalipwa mliyo kuwa mkiyatenda.
Explanation & meanings · 1
- Wataambiwa makafiri Siku ya Kiyama: Msitafute udhuru leo! Hapana shaka mnalipwa mliyo kuwa mkiyatenda.