56 : 80
تَنزِيلٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ
Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Explanation & meanings · 1
- imeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa viumbe vyote.
تَنزِيلٞ مِّن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ
Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.