Skip to content
Al-Waqi'ah /

Aya 72

56 : 72

Aya 72 of Al-Waqi'ah (56 : 72). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Al-Waqi'ah Aya 96
Sura · Al-Waqi'ah
Kiswahili · Barawani
56 : 72

ءَأَنتُمۡ أَنشَأۡتُمۡ شَجَرَتَهَآ أَمۡ نَحۡنُ ٱلۡمُنشِـُٔونَ

Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji?

Explanation & meanings · 1
  1. Ni nyinyi ndio mlio uotesha mti wake, na mkautia ndani ya huo mti moto, au ni Sisi ndio tulio uumbia hivyo, kadhaalika?