Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 42

56 : 42

Aya 42 of الوَاقِعة (56 : 42). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 42

فِي سَمُومٖ وَحَمِيمٖ

Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka,

Explanation & meanings · 1
  1. Watakuwa kwenye upepo umoto utakao wazunguka, unao penya katika tundu za mwili, na maji yaliyo chemshwa motoni wayanywe na wamiminiwe vichwani,