56 : 29 وَطَلۡحٖ مَّنضُودٖ Na migomba iliyo pangiliwa, 29Hide explanation (1)Explanation & meanings · 129Na migomba iliyo pangika na ndizi zake zimepandana juu ya mikungu,