Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 11

56 : 11
الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 11

أُوْلَٰٓئِكَ ٱلۡمُقَرَّبُونَ

Hao ndio watakao karibishwa

Explanation & meanings · 1
  1. Hao ndio walio karibishwa mbele kwa Mwenyezi Mungu. Mola wao Mlezi atawatia katika Bustani zenye neema.