Skip to content
النِّسَاء /

Aya 42

4 : 42

Aya 42 of النِّسَاء (4 : 42). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 42

يَوۡمَئِذٖ يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَعَصَوُاْ ٱلرَّسُولَ لَوۡ تُسَوَّىٰ بِهِمُ ٱلۡأَرۡضُ وَلَا يَكۡتُمُونَ ٱللَّهَ حَدِيثٗا

Siku hiyo walio kufuru na wakamuasi Mtume watatamani Ardhi isawazishwe juu yao. Wala hawataweza kumficha Mwenyezi Mungu neno lolote.

Explanation & meanings · 1
  1. Yatapo tokea haya watatamani hao wapinzani wanao pinga lau kuwa wangeli potea chini ya Ardhi kama wanavyo potea maiti makaburini! Na wao hawawezi kumficha Mwenyezi Mungu kitu chochote katika mambo yao, na hali zao na vitendo vyao vitadhihiri.