Skip to content
الصَّافَات /

Aya 41

37 : 41
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 41

أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ رِزۡقٞ مَّعۡلُومٞ

Hao ndio watakao pata riziki maalumu,

Explanation & meanings · 1
  1. Hawa watu wa ikhlasi watapata Akhera riziki maalumu kwa Mwenyezi Mungu.