37 : 26
بَلۡ هُمُ ٱلۡيَوۡمَ مُسۡتَسۡلِمُونَ
Bali hii leo, watasalimu amri.
Explanation & meanings · 1
- Leo hii hawasaidiani, bali leo wanaongozwa tu, wamekwisha salimu amri.
بَلۡ هُمُ ٱلۡيَوۡمَ مُسۡتَسۡلِمُونَ
Bali hii leo, watasalimu amri.