35 : 26
ثُمَّ أَخَذۡتُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۖ فَكَيۡفَ كَانَ نَكِيرِ
Kisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje?
Explanation & meanings · 1
- Kisha nikawashika walio kufuru kwa mshiko mkali. Basi hebu angalia kulikuwaje kuchukia kwangu kwa vitendo vyao, na ghadhabu yangu juu yao!