Skip to content
القَصَص /

Aya 1

28 : 1

Aya 1 of القَصَص (28 : 1). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القَصَص Aya 88
Sura · القَصَص
Kiswahili · Barawani
28 : 1

طسٓمٓ

T'A SIN MIM, (T'.S.M.) .

Explanation & meanings · 1
  1. T'a Sin Mim, harufi za kutamkwa kubainisha kuwa Qur'ani hii ni muujiza wa harufi hizi hizi za mazungumzo yenu, na ili kuwazindua wenye kusikia.