Skip to content
النَّمل /

Aya 28

27 : 28
النَّمل Aya 93
Sura · النَّمل
Kiswahili · Barawani
27 : 28

ٱذۡهَب بِّكِتَٰبِي هَٰذَا فَأَلۡقِهۡ إِلَيۡهِمۡ ثُمَّ تَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَٱنظُرۡ مَاذَا يَرۡجِعُونَ

Nenda na barua yangu hii na uwafikishie, kisha waache na utazame watarejesha nini.

Explanation & meanings · 1
  1. Nenda na barua yangu hii umfikishie yeye na kaumu yake. Kisha jitenge nao ujifiche pahali karibu, uangalie wanarejesheana maneno gani.