Skip to content
الشعراء /

Aya 95

26 : 95
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 95

وَجُنُودُ إِبۡلِيسَ أَجۡمَعُونَ

Na majeshi ya Ibilisi yote.

Explanation & meanings · 1
  1. Na pamoja nao watakuwapo wasaidizi wa Ibilisi walio kuwa wakiwapambia shari na madhambi, au wale watu na majini walio wakiwafuata katika maasi.