26 : 161
إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ لُوطٌ أَلَا تَتَّقُونَ
Alipo waambia ndugu yao, Luut'i: Je! Hamumchimngu?.
Explanation & meanings · 1
- Ewe Mtume! Watajie watu wako pale Lut'i alipo waambia watu wake, naye ni ndugu yao na shemeji yao: