Skip to content
الشعراء /

Aya 149

26 : 149
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 149

وَتَنۡحِتُونَ مِنَ ٱلۡجِبَالِ بُيُوتٗا فَٰرِهِينَ

Na mnachonga milimani majumba kwa ustadi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mnachonga milimani majumba kwa ufundi na ustadi katika hayo mnayo yaunda.