Skip to content
الشعراء /

Aya 117

26 : 117
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 117

قَالَ رَبِّ إِنَّ قَوۡمِي كَذَّبُونِ

Akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha.

Explanation & meanings · 1
  1. Nuhu kuonyesha kushikilia watu wake kuukadhibisha wito wake, alisema: Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha! Kuthibitisha kuwa wanastahiki maapizo yake.