Skip to content
الكَهف /

Aya 56

18 : 56

Aya 56 of الكَهف (18 : 56). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 56

وَمَا نُرۡسِلُ ٱلۡمُرۡسَلِينَ إِلَّا مُبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَۚ وَيُجَٰدِلُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ بِٱلۡبَٰطِلِ لِيُدۡحِضُواْ بِهِ ٱلۡحَقَّۖ وَٱتَّخَذُوٓاْ ءَايَٰتِي وَمَآ أُنذِرُواْ هُزُوٗا

Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha.

Explanation & meanings · 1
  1. Lakini Mwenyezi Mungu hawatumi Mitume wake ila kwa ajili ya kutoa bishara njema na kuonya. Wala hawatumi kwa ajili ya hao wenye inda wawatake walete muujiza makhsusi. Lakini walio kufuru wanaacha hoja, na wanabishana na Mitume kwa upotovu ili waipotoe Haki. Na msimamo wao kwa Qur'ani na maonyo ni msimamo wa mwenye kejeli na maskhara ambaye hana makusudio ya kutafuta hakika ya mambo.