18 : 23
وَلَا تَقُولَنَّ لِشَاْيۡءٍ إِنِّي فَاعِلٞ ذَٰلِكَ غَدًا
Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho
Explanation & meanings · 1
- Wala usiseme kabisa kwa jambo unalo azimia kulendea na kujihimu kulitenda: Mimi nitalifanya hilo baadae!