Skip to content
الإسرَاء /

Aya 77

17 : 77

Aya 77 of الإسرَاء (17 : 77). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 77

سُنَّةَ مَن قَدۡ أَرۡسَلۡنَا قَبۡلَكَ مِن رُّسُلِنَاۖ وَلَا تَجِدُ لِسُنَّتِنَا تَحۡوِيلًا

Huo ndio mwendo kwa Mitume tulio watuma kabla yako. Wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu

Explanation & meanings · 1
  1. Na huo ndio mwendo wetu kwa Mitume wa kabla yako - huwahiliki wale wanao wafukuza Manabii wao. Na wala hapana mabadiliko katika mwendo wetu.