Skip to content
الحِجر /

Aya 51

15 : 51
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 51

وَنَبِّئۡهُمۡ عَن ضَيۡفِ إِبۡرَٰهِيمَ

Na uwape khabari za wageni wa Ibrahim.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Nabii! Waambie pia, katika kubainisha rehema yangu makhsusi katika dunia na adhabu yangu kwa wenye kuasi humo, khabari ya Malaika walio mfikia Ibrahim kama wageni.