Skip to content
الرَّعد /

Aya 40

13 : 40

Aya 40 of الرَّعد (13 : 40). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الرَّعد Aya 43
Sura · الرَّعد
Kiswahili · Barawani
13 : 40

وَإِن مَّا نُرِيَنَّكَ بَعۡضَ ٱلَّذِي نَعِدُهُمۡ أَوۡ نَتَوَفَّيَنَّكَ فَإِنَّمَا عَلَيۡكَ ٱلۡبَلَٰغُ وَعَلَيۡنَا ٱلۡحِسَابُ

Na ikiwa tukikuonyesha baadhi ya tuliyo waahidi au tukakufisha kabla yake, juu yako wewe ni kufikisha ujumbe na juu yetu ni hisabu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na tukikuonyesha baadhi ya malipo au adhabu tulizo waahidi, au tukakujaalia ufe kabla ya hayo, ungeli ona kitisho kitacho washukia washirikina, na ungeli ona neema za Waumini! Lakini haya hayakukhusu wewe, juu yako wewe ni kufikisha Ujumbe tu, na kwetu Sisi peke yetu ndio hisabu.