Skip to content
هُود /

Aya 59

11 : 59

Aya 59 of هُود (11 : 59). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 59

وَتِلۡكَ عَادٞۖ جَحَدُواْ بِـَٔايَٰتِ رَبِّهِمۡ وَعَصَوۡاْ رُسُلَهُۥ وَٱتَّبَعُوٓاْ أَمۡرَ كُلِّ جَبَّارٍ عَنِيدٖ

Na hao ndio kina A'adi. Walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, na wakawaasi Mitume wake, na wakafuata amri ya kila jabari mwenye inda.

Explanation & meanings · 1
  1. Hao, basi, ndio kina A'adi! Walizikataa hoja zote zilizo wazi, na wakawaasi Mitume wote wa Mwenyezi Mungu, kwa vile kumuasi yule Mtume wao aliye tumwa kwao, na vile kumt'ii kila aliye kuwa jeuri na mwingi wa inda katika maraisi wao na wakubwa wao!